Search

330 results for Lilian Lucas :

  1. Watu wenye ulamavu waomba faraja na upendo

    “Tuna uhitaji wa taulo za kike kwa sisi wanafunzi, kwani wakati wa hedhi inakuwa tatizo kujisitiri. Pia tunahitaji vifaa vya shule na mahitaji mengine kiujumla,” amesema Anjelina.

  2. CMA yataja sababu zinazoongoza migogoro ya kikazi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amewaagiza watumishi wa CMA kuhakikisha wanatatua migogoro mahali pa kazi kwa wakati

  3. Tanesco yatenga Sh500 milioni kuondoa ukatikaji umeme Morogoro

    Katika kukabiliana na tatizo la kukatika katika kwa umeme mara kwa mara, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoa wa Morogoro limeanza kuboresha miundombinu ya huduma hiyo kwa kuondoa nguzo za...

  4. Polisi Moro yakamata viroba 30 vya bangi

    Mifuko 30 ya bangi yenye uzito wa kilo 430 imekamtwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema.

  5. Wadakwa wakidaiwa kutengeneza pombe 'feki'

    Ametaja bidhaa feki ya pombe kali zilizozotengenezwa na kiwanda hicho ni chupa za Smart Gin 2,544, Konyagi chupa 65, madumu ya lita 20 yaliyojazwa spiriti 4, pipa tupu moja la spiriti, pamoja na...

  6. Magereza waanza kuboresha mitalaa urekebishaji

    Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP), Mzee Ramadhani Nyamka amesema Jeshi la Magereza nchini limeanza kutekeleza maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan ikiwemo uboreshaji wa...

  7. Mmoja afariki mafuriko Kilosa

    Kwa mujibu wa DC Shaka, kifo cha mwanamume huyo kimetokea kati ya saa 11 na 12 asubuhi, na mwili wake umepatikana.

  8. Kituo cha umeme Ifakara kumaliza kero ya wananchi

    Tatizo la katikakatika kwa Umeme lililokuwa likizikabili wilaya za Kilombero, Ulanga na Malinyi na kuwatesa wawekezaji na wananchi kushindwa kufanya maendeleo, limepata ufumbuzi, baada ya...

  9. Utafiti wa viashiria vya Ukimwi waleta matumaini

    Matumaini yanazidi kuongezeka baada ya utafiti wa viashiria vya ukimwi kubaini kiwango cha kufubaza Virusi Vya Ukimwi (VVU), kinaendelea kukua kwa wastani wa asilimia 78 kutoka asilimia 52 mwaka...

  10. Mwitikio mdogo vijana kupima VVU

    Kasi ndogo ya upatikanaji elimu juu ya upimaji virusi vya Ukimwi kwa vijana, inatajwa kuwa sababu ya mwitikio mdogo wa vijana kujua afya zao, hivyo kuhatarika juhudi za nchi kutokomeza maradhi...

Page 1 of 33

Next